[base16] # _

Recent Posts

Murkomen apuuza madai ya Alfred Mutua kwamba anapangiwa njama mbaya

published on
- Mnamo Jumatatu, Desemba 16, Gavana Alfred Mutua aliandikisha taarifa katika Kituo cha Polisi cha Kilimani - Gavana huyo alidai Naibu Rais Ruto na marafiki zake wa karibu walimtishia na kusema wangemfundisha adabu kwa kuwapinga kisiasa - Seneta Kipchumba Murkomen amepuuzilia mbali madai ya Mutua na kusema hafai kusikizwa na yeyote Gavana wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen amepuuza madai ya Gavana wa Alfred Mutua kuhusu kupangiwa kifo na kusema hafai kupewa sikio na mtu. Read More...

Mvulana mwenye umri wa miaka 15 aishangaza familia maskini kwa kuipatia makazi

published on
- Mvulana mwenye umri wa miaka 15 pekee alizindua mradi wa kuwapa makazi watu wasiojiweza -Caleb White anasemekana kuzipa makazi familia kadhaa ambazo zimekuwa zikiishi maisha ya ufukara Mvulana mwenye umri wa miaka 15 amewashangaza wengi baada ya kufanya juu chini kuhakikisha kwamba anazipa familia sizizo ma makazi mahali pa kuita nyumbani. Habari Nyingine: Nitakuwa jinamizi kuu kwa naibu rais,William Ruto- Hassan Joho adai Pakua APP mpya ya TUKO upate habari BURE! Read More...

Pope Francis condemns extremism labels it as betrayal to religion during visit to Iraq

published on
- The pope prevailed upon the leaders to work towards creating harmony and friendship between their subjects regardless of the differences in beliefs - His speech came against the backdrop of a meeting between him and Shia Muslim cleric 90-year old Grand Ayatollah Ali al-Sistani - The meeting was one of a kind, leading the way in forging cooperation between a highly placed Christian pope and a staunch Shia Muslim figure Read More...

Categories

Blog (1688)